Tuesday, 31 March 2015

ASILI YA WOKOVU


Bwana yesukristo kwa ajili yamauti yakemusalabani,alinunua wokovu kwaajili ya wanadamu nakutupatanisha na Mungu. jinsigani wokovu huu ulitayarishua
na Mungu nakupokelewa nawatu,
elimu juuyamatendo yawokovu inayo sehemutatu kamahizi zifwatazo kwaupande waMungu.

1,kuhesabiwa haki
2,kuzaliwa tena
3,utakaso

napiaukweli wa mtukupokea wokovu huu kwaupande wamtu kunasehemu tatu kamahizi.

1,kutubu [toba]
2,imani
3,utii

                                         wokovu nini/
a] kuhesabiwa  haki;
kuhesabiwa haki niusemi wabaraza yahukumu. mufungwa mwenyi hatia aumwenyi kuasi sheria naambaye angoja kupokeya azabuyakosa lake.
lakini kwaajili yamauti ya yesu musalabani,nakwakuamini Bwanayesu,Mungu mwamuzi,badala ya kumwukumu azabu anamwukumu kama hanahatia yoyote.
Mungu anamuhesabia haki kwaajili yamauti ya yesu nakwaimani,waroma 5:1 ,
waroma 8:1

b] kuzaliwatena,
kuzaliwa upya nihaliyetu yandani nakufanywa mwana ndiyohaliyetuyanje. waroma 9:4
hiihushugulika na usemi aoluga yajamaa.
tunapozaliwakwamwili tuwafukwasababuyamakosa nazambi. waefeso 2:1

[mauti yaroho nanafsi]
lakini wakati tunapopokea Bwana yesu yanikuzaliwatena,tunapokeabaraka zandani ya jamaa yakiroho: yanikuwa watoto waMungu, waroma 8:15, yohana 1:12
wakristo wanazombili kuandani yajamaa yamwili nakua ndaniyaMungu kwaimani.-yohana 1:12 .
twahitaji maishamupya ambayo imetayarishwa natendoyarohoMtakatifu kazihiyi yaitwa``kuzaliwatena'' yeyealiepokelewa anakuwa mtotowaMungu namojawajamaa ya Mungu - wagalatia 4:5-6,  waroma 8:1-23